Ni wakati wa kuchukua hatua

Ni wakati wa kujitambua na kuchukua hatua .Defining moments ni muda wa kukuwezesha kujifunza mambo mbalimbali maishani yatakayokuwezesha kujifunza misingi mbalimbali na hivyo kukuwezesha kuwa na mfano mwema kwa jamii.Kwa sababu hiyo,unahitaji kujitambua na kuchukua hatua sasa kabla hujachelewa kwa sababu ni muhimu kujifunza mambo ya msingi maishani.
Tunapofanya maamuzi,ni muhimu kujua kuwa baadhi ya maamuzi yana umuhimu mkubwa maishani kwa kuwa unaweza kufanya maamuzi yakakugharimu katika safari ya maisha yako.Ndiyo maana unahitaji kutambua kuwa kila aina ya maamuzi maishani yana faida na hasara pia.Hivyo fikiria mara mbili hasa pale unapoamua kufanya maamuzi maamuzi mazuri ya muhimu katika maisha yako sasa na baadaye
Baada ya kuona faida ya kuona maamuzi,sasa unaweza kuwendelea kujifunza misingi mingine ya maisha katika ulimwengu halisi.Unaweza usione sababu ya wewe kujifunza kwa sasa lakini kuna muda utahitaji kuwa darasani ili ujifunze ili mambo mengine yaendelee
Kwa maarifa zaidi, tembelea mtandao wetu ambao ni www.gmdf.or.tz (Kwa pamhttp://umoja.gmdf.or.tzoja tunaweza)
Yusuph Ndingu